Natafuta fundi wa kutengeneza hydraulic tile press
Nahitaji fundi/mtaalamu wa kutengeneza mashine ndogo ya hydraulic press kwa ajili ya kutengeneza vitofali vya cement.
Vipimo/mahitaji:
- Hydraulic jack: 30 Ton
- Kitofali kimoja kwa kila press
- Ukubwa wa tile: 300 × 100 × 18 mm
- Mould: Steel mould inayoweza kutoa tile kwa urahisi (ejector/removable mould)
- Frame: Heavy-duty steel, iwe imara kuhimili 30 Ton
- Pressing plate iwe sawa na yenye nguvu
- Mashine iwe manual na compact
Aliye na uwezo wa kutengeneza
frame pamoja na mould, tafadhali awasiliane nami na bei yake. Unaweza kuni PM
-
IMG_3443.png
2.3 MB
· Views: 9