Natafuta fundi wa pikipiki #HONDA CD 125 T

Natafuta fundi wa pikipiki #HONDA CD 125 T

Johnkelly

Member
Joined
Nov 14, 2016
Posts
75
Reaction score
45
Wadau kama kichwa cha habari hapo juu natafuta fund anaeweza tengeneza pikipik za Japanes pia anaejua maduka ya vivaa vya hiz pikipik kwa hapa dar.
b9fe40378a870efa60fa282d63ac77c6.jpg
....
c7dd25dc1bb669fcdc6034f9f404edb5.jpg
 
Kuna Uzi ulikuwepo wanauza pikipiki hizo na vipuri hivyo
 
0756554848 cheki nae huyo tatizo la pikipik kama hizo limekwisha
 
Back
Top Bottom