Nimenunua Infinix ya 320,000 7gb memory, very fast lakini imeachwa mbali sana na Sumsung S9plusSimu ikiharibika kweli inaudhi,
heri tu ununue hata ya bei ndogo utasumbuka
Kuna fundi simu pale stand ndogo zamani waliita container, wanatazamana na gate la jengo la Mollel.Habari za mchana ndugu zangu,
Nina Samsung S9 Plus imeharibika kioo sasa ninataka aidha kurudishia kioo au kupata fundi wa kurecover contact zangu zilizopo kwenye hiyo simu. Niliisajili online na nilikuwa nafanya backup online ila sijui kama kuna jinsi ya kurestore hiyo backup bila kutyumia simu husika. kama haiwezekani basi nipate fundi wa kunirudishia kioo original kwa bei poa
SHida zote zanini hizo?Nakushauri nunua kioo kingine aliexpress then tafuta fundi akubadilishie
Ukiambiwa watu wana hela za kununua simu tatizo hawajui simu za thamani ya hela zao ndiyo huku!Nimenunua Infinix ya 320,000 7gb memory, very fast lakini imeachwa mbali sana na Sumsung S9plus
Ya pili sababu kuu, contacts zangu muhimu sana za kibiashara ziko huko. Pamoja na kujitajidi kuhakikisha contacts zote zinahifadhiwa kwenye email zangu za gmail lakini from nowhere, email nyingi kumbe zilikuwa zinahifadhiwa kwenye phone book tu. Sasa nawajibika kurestore simu kwa sababu ya hizo contacts
Unajua uwezo wake mkuu?Ukiambiwa watu wana hela za kununua simu tatizo hawajui simu za thamani ya hela zao ndiyo huku!
Unanunua Infinix mdogo'ake Tecno kwa Tsh 320,000/= hiyo hela ungeitia kwenye Xiaomi au Oppo ungepata simu moja matata sana kuendana au iliyoachwa mbali kidogo sana na hiyo s9 yako.
Tecno ukiinunua zaidi ya 150,000/= wakati ulikuwa na uwezo wa kuongeza 130K ukapata simu nzuri zaidi hayo ni matumizi mabaya ya pesa tena unapaswa uchapwe bakora za kutosha hadharani pale Benjamin Mkapa kwa kuidhalilisha pesa na industry ya watumiaji wa simu.
Ndg, hizo simu ulizotaja zote kabila moja, zimetofautiana tu lafudhi na rangiUkiambiwa watu wana hela za kununua simu tatizo hawajui simu za thamani ya hela zao ndiyo huku!
Unanunua Infinix mdogo'ake Tecno kwa Tsh 320,000/= hiyo hela ungeitia kwenye Xiaomi au Oppo ungepata simu moja matata sana kuendana au iliyoachwa mbali kidogo sana na hiyo s9 yako.
Tecno ukiinunua zaidi ya 150,000/= wakati ulikuwa na uwezo wa kuongeza 130K ukapata simu nzuri zaidi hayo ni matumizi mabaya ya pesa tena unapaswa uchapwe bakora za kutosha hadharani pale Benjamin Mkapa kwa kuidhalilisha pesa na industry ya watumiaji wa simu.
Mkuu hakuna mtu anayependa kununua kitu kibaya awe maskini awe tajiri ni mtu kukosa kujua (sisemi mleta mada siyo mjanja) na kukosa washauri tu hiyo hiyo hela ndogo au kubwa akitulia atapata kitu kizuri.Unajua uwezo wake mkuu?
Hiyo 130k kwa mwingine ni kubwa sana.
Kumbuka hii aliyonunua ni dhararu wakati anatibu simu yake pendwa.
Samsung ni simu bora sana kuliko hiyo Xiami yako
Usifananishe dhahabu na uchafu nakushauri kitu kama hukijui acha kiwe kama kilivyo though sikupingi maana huo ni mtazamo wako na unao uhuru wa kuamini unachotaka.Ndg, hizo simu ulizotaja zote kabila moja, zimetofautiana tu lafudhi na rangi
Xiaomi, Oppo, Infinix, Techno zote zinatofautiana kitu kidogo and mainly Camera, Oppo ni nzuri kwenye Camera kuliko Techno na Infinix. Simu bora n Iphone ikifuatiwa na Sumsung baadhi ya matoleo. One of them Galaxy S9plus nimeitumia na nimeona quality inataka kukaribia ya Iphone
Nami sikupingi kwa unachokiamini ila fanya kwanza technical reviews za hizo products kabla hujahukumuUsifananishe dhahabu na uchafu nakushauri kitu kama hukijui acha kiwe kama kilivyo though sikupingi maana huo ni mtazamo wako na unao uhuru wa kuamini unachotaka.