Dear members wa JF,
Nina mashamba ambayo nataka sana kuyaendeleza, ila tatizo ni funds za kuyaendeleza. Natafuta long term funds / loans / investors (miaka mitano au zaidi) zenye masharti nafuu ili niweze kuyaendeleza mashamba hayo.
Anyone ambaye anajua ninakoweza kupata funds za namna hiyo please inform me.
Thanks in advance.