Natafuta Funds kwa ajili ya KILIMO

Natafuta Funds kwa ajili ya KILIMO

ROKY

Senior Member
Joined
May 4, 2011
Posts
182
Reaction score
70
Dear members wa JF,
Nina mashamba ambayo nataka sana kuyaendeleza, ila tatizo ni funds za kuyaendeleza. Natafuta long term funds / loans / investors (miaka mitano au zaidi) zenye masharti nafuu ili niweze kuyaendeleza mashamba hayo.
Anyone ambaye anajua ninakoweza kupata funds za namna hiyo please inform me.

Thanks in advance.
 
Karibu JF EMPOWERMENT SACCOSS, tuondokana na hili tatizo la kupata chanzo cha kuanzisha au kuendeleza miradi yetu.
 
Back
Top Bottom