Natafuta furniture kwa bei nzuri

Natafuta furniture kwa bei nzuri

MEGATRONE

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
1,140
Reaction score
2,141
Habari nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata furniture kwa bei nafuu kidogo! Nimewapigia lifemate wameniambia bei yao inaanza 5m🤣🙌🏽.

Naombeni muongozo!
 
Habari nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata furniture kwa bei nafuu kidogo! Nimewapigia lifemate wameniambia bei yao inaanza 5m🤣🙌🏽.. Naombeni muongozo!
Nenda Orca Deco hutojuta
 
Makochi ya keko yanatengenezwa kwa magodoro mabovu, Yana kunguni sana
Sasa tunamsaidia vipi ndogo yetu? Amepewa fanicha nzuri amesema ni bei, nimempleka keko umesema kuna kunguni!
Tumsaidie vipi?
 
Back
Top Bottom