SILVESTER CLEMENT MABULA
New Member
- Oct 6, 2026
- 1
- 0
Heshima kwenu wana-JamiiForums,
Mimi ni kijana mtulivu, mwaminifu na mwenye juhudi za kazi, natafuta fursa ya kazi katika sekta ya usafirishaji au ufundi. Niko tayari kufanya kazi mahali popote nitakapohitajika.
Sifa na Ujuzi Wangu:
Udereva: Nina Leseni ya Udereva Daraja B na D (Class B & D).
Utaniboy (Msaidizi wa Dereva): Niko tayari kufanya kazi ya utaniboy kwenye magari ya mizigo au abiria, nikisaidia taratibu zote za safari, mizigo na matengenezo mepesi.
Umeme wa Magari (Auto Electrics): Nina taaluma/sifa za umeme wa magari. Niko tayari kufanya kazi na kujifunza zaidi kwa vitendo.
Ujuzi wa Kompyuta: Najua matumizi ya kompyuta kikamilifu (Office programs, matumizi ya mtandao na data entry).
Anwani na Mawasiliano:
Kwa mtu au kampuni yoyote inayohitaji mfanyakazi au msaidizi wa kazi hizo hapo juu, naomba mnipate kupitia:
Simu: 0617 650 509 / 0765 650 509
Msaada au mwongozo wowote kutoka kwenu utathaminiwa sana. Ahsanteni!