Natafuta fursa za zabuni na usambazaji wa vifaa vya ICT

Nevergive up

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2024
Posts
600
Reaction score
945
Wakuu Nina reseni ya uzabuni na Nina miaka 4 katika kazi hii hivyo Nina uzoefu nzuri. Natafuta fursa za zabuni (tenders) na usambazaji wa vifaa vya ICT

Kampuni yangu ina leseni halali ya usambazaji na uuzaji wa vifaa vya ICT, na tupo tayari kuhudumia taasisi za umma, kampuni binafsi, mashirika, shule, vyuo na hospitali kwa kutoa vifaa vya ICT vya ubora kwa bei shindani.

Ikiwa una taarifa za zabuni zinazohitaji wasambazaji wa vifaa vya ICT, au unaweza kuniunganisha na taasisi au kampuni zinazohitaji huduma hizi pia utakuwa na % katika mauzo hayo pia kama utahitaji kuona profile yangu na mazungumzo karibu sana na tunaweza kufanya kazi pamoja .asante
 
Uko wapi mkuu,mie Niko Kenya Nairobi kama vp tuwasiliane 254741263170 WhatsApp.
 
Wakuu Nina reseni ya uzabuni na Nina miaka 4 katika kazi hii hivyo Nina uzoefu nzuri. Natafuta fursa za zabuni (tenders) na usambazaji wa vifaa vya ICT

Kampuni yangu ina leseni halali ya usambazaji na uuzaji wa vifaa vya ICT, na tupo tayari kuhudumia taasisi za umma, kampuni binafsi, mashirika, shule, vyuo na hospitali kwa kutoa vifaa vya ICT vya ubora kwa bei shindani.

Ikiwa una taarifa za zabuni zinazohitaji wasambazaji wa vifaa vya ICT, au unaweza kuniunganisha na taasisi au kampuni zinazohitaji huduma hizi pia utakuwa na % katika mauzo hayo pia kama utahitaji kuona profile yangu na mazungumzo karibu sana na tunaweza kufanya kazi pamoja .asante
Jisajili kwenye mfumo wa tenda za serikali
 
Back
Top Bottom