Natafuta future husband

Natafuta future husband

kokushobya

Member
Joined
Dec 13, 2015
Posts
19
Reaction score
10
Habari wana jf kwa majina naitwa Nailath Nassor 23yrs natafuta mtu wa kunioa,awe serious,mcha mungu,dini yoyote,kabila lolote,umri 25-30 na atakayekuwa tayari kwa vigezo ntakavyomwambia,atakaekuwa interested call me 0621832347
 
Hivi kumbe vigezo unavitoa wewe? Yaani unaanza kumtawala mwanaume hata kabla hajakuoa?
 
Mwanaume ndo huweka masharti kwa kuwa ndo muoaji

Wewe unaanza masharti unaoa au unaolewa

Anyway wewe anza kuchambua tu siku zikienda utaomba yeyote akuoe wakati utakuwa umechelewa kabisa

Sijui nitumbukie

Tatizo tu la wanawake wa humu huwa waongo tu kwa kuwa hata ukienda pm huwa hawajibu

Teh
 
PM wapi jamaa wakati kaweka na namba zake, wewe mrukie hewani tu sasa hivi myamalize.
 
Back
Top Bottom