kokushobya
Member
- Dec 13, 2015
- 19
- 10
Hivi kumbe vigezo unavitoa wewe? Yaani unaanza kumtawala mwanaume hata kabla hajakuoa?Habari wana jf kwa majina naitwa Nailath Nassor 23yrs natafuta mtu wa kunioa,awe serious,mcha mungu,dini yoyote,kabila lolote,umri 25-30 na atakayekuwa tayari kwa vigezo ntakavyomwambia,atakaekuwa interested call me 0621832347
sitaki kuoa mpaka nijue, nikijua kabila ndo nitaoa
"mhaya staki kusema sana msije sema natukana"
PM wapi jamaa wakati kaweka na namba zake, wewe mrukie hewani tu sasa hivi myamalize.Mwanaume ndo huweka masharti kwa kuwa ndo muoaji
Wewe unaanza masharti unaoa au unaolewa
Anyway wewe anza kuchambua tu siku zikienda utaomba yeyote akuoe wakati utakuwa umechelewa kabisa
Sijui nitumbukie
Tatizo tu la wanawake wa humu huwa waongo tu kwa kuwa hata ukienda pm huwa hawajibu
Teh