Natafuta future wife

Natafuta future wife

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
89
Hbr za leo Wana jforum!!
Natafuta mke,awe
Elimu;diploma and above
Umri:miaka 34 au chini
Dini.mkristo
Kabila: lolote
Nb akiwa na watoto au mgumba ni sifa nyongeza!!
Sifa zangu
Mi Nina watoto wawili
mwajiriwa serikalini
Miaka 35
Dini;mkristo
 
Yaani nyie wazee wa 30+ ndo mnatafuta kuoa so nadhan hii zamu yenu kulamba Asali.
 
Kuna uzi ulisha wahi andika una mke ....
Kuna uzi mwingine tena ukandika una tafta wife ...
Leo tena una tafta wife ....
Mkuu bado tu hujapata au basi tu unafuruhisha jamvi .... au dini inaruhusu mkuu
 
Mtoa mada ushaoa tayari
 
Mi ndo najua cna. Mke nyie mnaojifanya mnyajua sana maisha yangu komaeni
Aaah kwahiyo Ile story ya mwanzo ulitunga?🤣🤣basi inaonekana hata kutafuta mke umetunga😀
 
Back
Top Bottom