Natafuta garfriend mwene kujiheshim

Natafuta garfriend mwene kujiheshim

methood

Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
31
Reaction score
11
Natafuta garlfriend naejiheshim
sifa zake km ifuatavyo
1, hawe anajiheshim sana
2, hawe mpole asiwe mwingi wa mambo.
3, hawe mwelewa
4, hawe na heshima kwa watu
5, hawe na akili ya maisha
6, hawe kasoma japo kidato cha6
7, hawe mnyenyekevu
8, asiwe na marafiki wa ajabu
9, asiwe mpenda pesa
10, ajue kuvumilia hali ngumu
KAMA YUPO ANI PM HARAKA NIMPE ACCOUNT ZANGU ZA tweet, fb, instaglam, whatsapp, hili apate picha zangu
 
"Garlfriend" hapa hawapo labda jaribu kwingine

Last edited by a moderator:
"Garlfriend" hapa hawapo labda jaribu kwingine

labda alimaanisha garlfred[sina uhakika kama nimepatia herufi] katuni
 
Last edited by a moderator:
kwa hizo sifa labda umchonge mwenyewe!!halafu na wewe mbona hujataja ABCs zako kama una account ngapi?,unamiliki maduka au investments ngapi?,una magari mangapi.etc uone watakavyokupapatikia vinginevyo hayo maneno matupu uliyoyataja hapo juu hayalambwi!!
 
U hv said tha truth.. Atoe na yy wasifu wake
 
nilikuja fast nilidhani account za crdb ,standard charter na exim huko ! ukute hata benk ya posta wala nmb huna account!
 
Upo twitter,whatsap .insta,fb,rahatupu na jf huwezi kuandika? Rud fb kule utapata wa levo yako huku watakuponda tu.
 
Natafuta garlfriend naejiheshim
sifa zake km ifuatavyo
1, hawe anajiheshim sana
2, hawe mpole asiwe mwingi wa mambo.
3, hawe mwelewa
4, hawe na heshima kwa watu
5, hawe na akili ya maisha
6, hawe kasoma japo kidato cha6
7, hawe mnyenyekevu
8, asiwe na marafiki wa ajabu
9, asiwe mpenda pesa
10, ajue kuvumilia hali ngumu
KAMA YUPO ANI PM HARAKA NIMPE ACCOUNT ZANGU ZA tweet, fb, instaglam, whatsapp, hili apate picha zangu

huku utapata wazinzi tu mkuu na omba uwakutee bumu limeisha na semmister inawaka moto kila anaekuja ni kutoka kw abwana
 
Back
Top Bottom