Nyambiza jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,033
- 1,841
Habari zenu wana Jf
Najua tunapambana sana katika kutafuta mafanikio ya kimaisha, mimi katika harakati zangu kama kijana nimeanza kwa kutafuta elimu kwanza na kufikia ngazi ya Diploma in Mechanical Engineering baada ya hapo nikafanya kazi mbalimbali pamoja na ufundi Garage ila kutokana na kipato kuwa kidogo nikaona nikasomee na driving VETA.
Sasa wakuu wazo langu ni kutafuta Gari ndogo aina ya Pick up kwa ajili ya kufanyia shughuli za kubebea mizigo mbalimbali na kujiingizia kipato.
Je, ni njia gani niweze kuitumia ili niweze pata gari ima ya mkopo au mtu binafsi ambayo mimi nitakua naimiliki moja kwa moja na yeye nitakua nampelekea hela yake tu.
Au kama kuna njia nyingine inayofanana na hizi naomba mnijuze
Sent using Jamii Forums mobile app