Car4Sale Natafuta gari aina ya Toyota Vits ya Milion 3

Mkudisingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
421
Reaction score
122
Natafuta gari aina ya Vits napatikana Dodoma bei mil 3 Nichek what'sup 0758214251.Asante
Note: gari iwepo dodoma na bei nilioweka ni fixed haipandi haishuki .
 
Utakuwa unashinda nayo garage kwa bei hiyo, kuna teacher alinunua gari design hiyo, asubuhi unamkuta nje ya nyumba yake yuko smart anasubiri wanafunzi waisukume, akifika shule anakuja fundi, anatoa wanafunzi darasani wakaisukume mpaka iwake, jioni kabla hawajatawanyika lazima awe na wanafunzi wa kuisukuma, siku moja break fluid ilikuwa imevuja yote yeye hana habari, watoto walisukuma gari ikawaka kama kawaida, ila haikusimama ikaenda kuishia mtoni, naye alinusurika kifo alichunika vibaya baada ya kuruka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka mbele za watu kiasi wanajiuliza nimewaona na nini mpaka nicheke
 
Ticha hakuwa na ufahamu na magari iko wazi
 
Hivi mnaonaje mkaacha kuchangia post sizizo wahusu???
Hayo mambo ya kukatishana tamaa sio mazuri kabisa
Mwenye hiyo gari atamtafuta na kumpa bei wataelewana tatizo liko wapi?
 
Hawamkatishi tamaa ila wanashare uzoefu ili awaepuke matapeli
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka mbele za watu kiasi wanajiuliza nimewaona na nini mpaka nicheke
😂😂😂😂😂 Yan nimecheka mpaka machozi! Huyo ticha hakuvaa na tai?
 
Sikuandika popote naomba kushare uzoefu , nilisema natafuta vits ya milion 3
Kuwa na subira. Milioni 3 unapata VITS mashine kabisa! Yaani haina hata kipengele. Wachukulie tu poa hao wanao kutisha na kukukatisha tamaa.

Bila shaka hawajui thamani ya hiyo pesa kwa sasa.
 
Hata kwa 2 unapata ila inategemea huyo muuzaji unamkutaje
 
Natafuta gari aina ya Vits napatikana Dodoma bei mil 3 Nichek what'sup 0758214251.Asante
Note: gari iwepo dodoma na bei nilioweka ni fixed haipandi haishuki .
Nimefikiria sana mkuu ........kiukweli unaishi kwenye dunia yako
 
Utakuwa unashinda nayo garage kwa bei hiyo, kuna teacher alinunua gari design hiyo, asubuhi unamkuta nje ya nyumba yake yuko smart anasubiri wanafunzi waisukume, akifika shule anakuja fundi, anatoa wanafunzi darasani wakaisukume mpaka iwake, jioni kabla hawajatawanyika lazima awe na wanafunzi wa kuisukuma, siku moja break fluid ilikuwa imevuja yote yeye hana habari, watoto walisukuma gari ikawaka kama kawaida, ila haikusimama ikaenda kuishia mtoni, naye alinusurika kifo alichunika vibaya baada ya kuruka

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom