Car4Sale Natafuta gari aina ya Toyota Vits ya Milion 3

Car4Sale Natafuta gari aina ya Toyota Vits ya Milion 3

Hizi gari za kununua mkononi mwa mtu hasa mbongo nyingi huwa ni kipengere sana..unakuta kina matatizo kama yote yani spana mkononi.
 
Sikuandika popote naomba kushare uzoefu , nilisema natafuta vits ya milion 3
Inabidi uwe makini sana. Jamaa zangu walikuwa na vits imechoka, haiuziki. Wakaisafisha na kuipamba body kidogo then wakaenda chukulia mkopo kwenye hivi vikampuni vya kukopesha huku mtaani.
Walikopa 1.5mil, ndio ikawa wameuza gari kiaina. Jamaa alipokuwa anadai pesa walimzungusha(kuzuga tu), baadae wakamwambia gari uza.
 
Kweli man? Mchongo upo ila usije na shahidi
 
Back
Top Bottom