Mkudisingo
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 421
- 122
Utakuwa unashinda nayo garage kwa bei hiyo, kuna teacher alinunua gari design hiyo, asubuhi unamkuta nje ya nyumba yake yuko smart anasubiri wanafunzi waisukume, akifika shule anakuja fundi, anatoa wanafunzi darasani wakaisukume mpaka iwake, jioni kabla hawajatawanyika lazima awe na wanafunzi wa kuisukuma, siku moja break fluid ilikuwa imevuja yote yeye hana habari, watoto walisukuma gari ikawaka kama kawaida, ila haikusimama ikaenda kuishia mtoni, naye alinusurika kifo alichunika vibaya baada ya kurukaNatafuta gari aina ya Vits napatikana Dodoma bei mil 3 Nichek what'sup 0758214251.Asante
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka mbele za watu kiasi wanajiuliza nimewaona na nini mpaka nichekeUtakuwa unashinda nayo garage kwa bei hiyo, kuna teacher alinunua gari design hiyo, asubuhi unamkuta nje ya nyumba yake yuko smart anasubiri wanafunzi waisukume, akifika shule anakuja fundi, anatoa wanafunzi darasani wakaisukume mpaka iwake, jioni kabla hawajatawanyika lazima awe na wanafunzi wa kuisukuma, siku moja break fluid ilikuwa imevuja yote yeye hana habari, watoto walisukuma gari ikawaka kama kawaida, ila haikusimama ikaenda kuishia mtoni, naye alinusurika kifo alichunika vibaya baada ya kuruka
Mkuu maisha haya acha tu,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka mbele za watu kiasi wanajiuliza nimewaona na nini mpaka nicheke
Ticha hakuwa na ufahamu na magari iko waziUtakuwa unashinda nayo garage kwa bei hiyo, kuna teacher alinunua gari design hiyo, asubuhi unamkuta nje ya nyumba yake yuko smart anasubiri wanafunzi waisukume, akifika shule anakuja fundi, anatoa wanafunzi darasani wakaisukume mpaka iwake, jioni kabla hawajatawanyika lazima awe na wanafunzi wa kuisukuma, siku moja break fluid ilikuwa imevuja yote yeye hana habari, watoto walisukuma gari ikawaka kama kawaida, ila haikusimama ikaenda kuishia mtoni, naye alinusurika kifo alichunika vibaya baada ya kuruka
Sasa nitauziwaje boda boda ikiwa nitatest kwanza?Unapanga bei na hauna gari? Asee we jamaa utakuja kuuziwa bodaboda shauri zako
Hawamkatishi tamaa ila wanashare uzoefu ili awaepuke matapeliHivi mnaonaje mkaacha kuchangia post sizizo wahusu???
Hayo mambo ya kukatishana tamaa sio mazuri kabisa
Mwenye hiyo gari atamtafuta na kumpa bei wataelewana tatizo liko wapi?
Nimechekaa balaa na nilikua nimenuna...siku nzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka mbele za watu kiasi wanajiuliza nimewaona na nini mpaka nicheke
Sikuandika popote naomba kushare uzoefu , nilisema natafuta vits ya milion 3Hawamkatishi tamaa ila wanashare uzoefu ili awaepuke matapeli
π€£Nimechekaa balaa na nilikua nimenuna...siku nzima
πππππ Yan nimecheka mpaka machozi! Huyo ticha hakuvaa na tai?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka mbele za watu kiasi wanajiuliza nimewaona na nini mpaka nicheke
Kuwa na subira. Milioni 3 unapata VITS mashine kabisa! Yaani haina hata kipengele. Wachukulie tu poa hao wanao kutisha na kukukatisha tamaa.Sikuandika popote naomba kushare uzoefu , nilisema natafuta vits ya milion 3
Natafuta gari aina ya Vits napatikana Dodoma bei mil 3 Nichek what'sup 0758214251.Asante
Note: gari iwepo dodoma na bei nilioweka ni fixed haipandi haishuki .
Nimefikiria sana mkuu ........kiukweli unaishi kwenye dunia yakoNatafuta gari aina ya Vits napatikana Dodoma bei mil 3 Nichek what'sup 0758214251.Asante
Note: gari iwepo dodoma na bei nilioweka ni fixed haipandi haishuki .
Utakuwa unashinda nayo garage kwa bei hiyo, kuna teacher alinunua gari design hiyo, asubuhi unamkuta nje ya nyumba yake yuko smart anasubiri wanafunzi waisukume, akifika shule anakuja fundi, anatoa wanafunzi darasani wakaisukume mpaka iwake, jioni kabla hawajatawanyika lazima awe na wanafunzi wa kuisukuma, siku moja break fluid ilikuwa imevuja yote yeye hana habari, watoto walisukuma gari ikawaka kama kawaida, ila haikusimama ikaenda kuishia mtoni, naye alinusurika kifo alichunika vibaya baada ya kuruka
Natafuta gari aina ya Vits napatikana Dodoma bei mil 3 Nichek what'sup 0758214251.Asante
Note: gari iwepo dodoma na bei nilioweka ni fixed haipandi haishuki .