Inabidi uwe makini sana. Jamaa zangu walikuwa na vits imechoka, haiuziki. Wakaisafisha na kuipamba body kidogo then wakaenda chukulia mkopo kwenye hivi vikampuni vya kukopesha huku mtaani.
Walikopa 1.5mil, ndio ikawa wameuza gari kiaina. Jamaa alipokuwa anadai pesa walimzungusha(kuzuga tu), baadae wakamwambia gari uza.