E Error 404 JF-Expert Member Joined Jun 21, 2022 Posts 2,151 Reaction score 3,493 Oct 16, 2024 #1 Popote ulipo mrembo mwenye miaka 26-30 , isiwe single mother Nimechoka kuishi peke yangu karibu tusaidiane maisha uwe mke wangu Uwe wewe au una mdogo wako au rafiki yako mjulishe taarifa hii
Popote ulipo mrembo mwenye miaka 26-30 , isiwe single mother Nimechoka kuishi peke yangu karibu tusaidiane maisha uwe mke wangu Uwe wewe au una mdogo wako au rafiki yako mjulishe taarifa hii
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 10,198 Reaction score 35,323 Oct 16, 2024 #2 Error 404 said: Popote ulipo mrembo mwenye miaka 26-30 , isiwe single mother Nimechoka kuishi peke yangu karibu tusaidiane maisha uwe mke wangu Uwe wewe au una mdogo wako au rafiki yako mjurishe taarifa hii Click to expand... Gari la miaka 30 alijachoka utolitowa wapi katika bongo hi yenye barabara mbovu, umasikini hapo pokea tu lishangazi moja kwa moja.
Error 404 said: Popote ulipo mrembo mwenye miaka 26-30 , isiwe single mother Nimechoka kuishi peke yangu karibu tusaidiane maisha uwe mke wangu Uwe wewe au una mdogo wako au rafiki yako mjurishe taarifa hii Click to expand... Gari la miaka 30 alijachoka utolitowa wapi katika bongo hi yenye barabara mbovu, umasikini hapo pokea tu lishangazi moja kwa moja.
E Error 404 JF-Expert Member Joined Jun 21, 2022 Posts 2,151 Reaction score 3,493 Oct 16, 2024 Thread starter #3 Covax said: Gari la miaka 30 alijachoka utolitowa wapi katika bongo hi yenye barabara mbovu, umasikini hapo pokea tu lishangazi moja kwa moja. Click to expand... ππππ Hapo ngumu
Covax said: Gari la miaka 30 alijachoka utolitowa wapi katika bongo hi yenye barabara mbovu, umasikini hapo pokea tu lishangazi moja kwa moja. Click to expand... ππππ Hapo ngumu
Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 7,831 Reaction score 14,259 Oct 16, 2024 #4 Heshimu basi dada zetu usiwaite magari.
bandeko andeko JF-Expert Member Joined Oct 20, 2021 Posts 1,080 Reaction score 2,143 Oct 16, 2024 #5 kuna mwenzio jana kaja kulalamika mwenye 26 years single mama with 3 kiddos anamsumbua sembuse wewe unataka wa 30, jiandae jombaa.
kuna mwenzio jana kaja kulalamika mwenye 26 years single mama with 3 kiddos anamsumbua sembuse wewe unataka wa 30, jiandae jombaa.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Oct 20, 2024 #6 Error 404 said: Popote ulipo mrembo mwenye miaka 26-30 , isiwe single mother Nimechoka kuishi peke yangu karibu tusaidiane maisha uwe mke wangu Uwe wewe au una mdogo wako au rafiki yako mjulishe taarifa hii Click to expand... Gari ya zamani ambayo haijachoka sana...!
Error 404 said: Popote ulipo mrembo mwenye miaka 26-30 , isiwe single mother Nimechoka kuishi peke yangu karibu tusaidiane maisha uwe mke wangu Uwe wewe au una mdogo wako au rafiki yako mjulishe taarifa hii Click to expand... Gari ya zamani ambayo haijachoka sana...!