Natafuta gari la kununua - fielder, spacio, nadia, opa, ipsum au wish

Now you are talking, akili yako ndogo usirudie tena kuparamia usivyovijua... Ushauri wa bure "JIHESHIMU NAWE UTAHESHIMIWA"
 
King we noma? Upo kwenye nini sasa ivi? Ha ha ha JF raha sana.
 
Potezea bro,yeye anataka umjue wakati yeye hataki kukujua. Bongo hii bado kuna watu wanaona gari ni kitu cha ajabu na thamani sana.
 
Mi nadhani head of topic ipo clear, relevant and understandable! Sasa watu mbona mwaingiza choko choko nyiingi zisizo na msingi wala mashiko kwa mtoa mada? Anachotaka ni mwenye gari za aina hiyo hapo juu tajwa ajitokeze wafanye biashara ,period! Sasa kama huna izo gari piga kimya sio lazima uchangie kilaaa topic ,behave lads and ladies.
 
Now you are talking, akili yako ndogo usirudie tena kuparamia usivyovijua... Ushauri wa bure "JIHESHIMU NAWE UTAHESHIMIWA"
I think your level of appreciating issues is diminishing! Idiot!
 
I think your level of appreciating issues is diminishing! Idiot!

Si nilikwambia akili yako ndogo, unaona ushaanza matusi ambayo ndo silaha ya wenye akili finyu
 
Si nilikwambia akili yako ndogo, unaona ushaanza matusi ambayo ndo silaha ya wenye akili finyu
Yangu ndogo siyo? Sasa hebu iweke hapa akili yako tuone jinsi ilivyo "kubwa jinga"!
 
Kumbe ulikuwa kwenye Ligi? Kwahiyo wewe ni Man U au Somalia?

Wanawake ndo wanajiweza kulumbana, wanaume hatuwezi... Kwa hiyo we endelea tu naona jinsia yako inakuruhusu
 
Wanawake ndo wanajiweza kulumbana, wanaume hatuwezi... Kwa hiyo we endelea tu naona jinsia yako inakuruhusu
Akiwemo Mama yako, siyo? That's why I once told you that your level of appreciating issues is diminishing dramatically!
 
Akiwemo Mama yako, siyo? That's why I once told you that your level of appreciating issues is diminishing dramatically!

Yap, of course, naye si mwanamke kama wewe tu so the same thing
 
tena akome, aende kwenye siasa huko! hapa tupo kwenye maswala ya biashara, watu wengine hata hawajielewi!
 
Reactions: C.K
Nina spacio ya 2000,imetembea km 56000.imeingia november 2013.
Bei 7.5 m
 
We njaa tu huna lolote... Ushatoka kwenye toyota umeenda wap, na nani kakuuliza kwan
Huyo jamaa bana inamana ametoka mpaka wenye Toyota Landcruiser,wakina Hardtop,V8,VX,TX......na model nyingine expensive za Toyota?
 
Reactions: C.K

Wadau nashukuru kwa response zenu, hususan kwa wale wenye busara. Nimepata Alteza Gita ya 2005 so naomba msirepond tena kwe hii post... Nawatakia mwaka mpya wenye mafanikio...kiroho, kimwili, kiufahamu........
 
samahani mkuu, umeipata kwa bei gani, imetembea km ngapi na ni automatic ama? Nauliza hivo kwani nami naihitaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…