Natafuta gari la kununua - fielder, spacio, nadia, opa, ipsum au wish

Natafuta gari la kununua - fielder, spacio, nadia, opa, ipsum au wish

Kwahiyo wewe mwisho wako wa kufikiria ni kwa Obama? My point is, you completely missed the point I meant, period! Ulipotoka kwenye mada nikaamua kukufuata huko huko, sasa naona na kwenyewe unatapatapa tu hujui unachokisema. Ngoja nikuache manake kamwe akili ndogo haiwezi kuiongoza akili kubwa!

Now you are talking, akili yako ndogo usirudie tena kuparamia usivyovijua... Ushauri wa bure "JIHESHIMU NAWE UTAHESHIMIWA"
 
Mie ni dalali ila hizo model unazotaka sina haziuziki maana wengi wanaoendesha hizo model ni mademu na kama unavyojua mashosti kuuza magari yao ni ngumu coz hela ya wese kwake sio tatizo maana kuna stakeholders wanaomuwekea mafuta,halafu sijakwambia kama mie napenda hizo model nimechangia coz ya dharau uliyoonyesha,kwahyo unataka kuniambia hautonunua Limousine kwasababu yanatumika sana kwenye harusi? Think big wengine hizo hizo tax ndio magari ya dream zao! Kwangu mimi vigari unavyovitaka hata bure nipewe sichukui,opa? Fielder? Ha Ha Ha Ha Ha Ha Baadae sana! Mie nshatoka kwenye Toyota!!

King we noma? Upo kwenye nini sasa ivi? Ha ha ha JF raha sana.
 
Nikujue we nan what for? Kwan we unanijua mi nan? Obama mwenyewe mtu tu kama wengine, kwa hiyo we ni nan hasa..? na ungekuwa na busara huwezi kumjibu mtu kiujinga, we huoni wenye busara zao wanavyorespond kwe thread za humu? lakini na wapumbavu pia wamo kwa hiyo sikushangai

Potezea bro,yeye anataka umjue wakati yeye hataki kukujua. Bongo hii bado kuna watu wanaona gari ni kitu cha ajabu na thamani sana.
 
Mi nadhani head of topic ipo clear, relevant and understandable! Sasa watu mbona mwaingiza choko choko nyiingi zisizo na msingi wala mashiko kwa mtoa mada? Anachotaka ni mwenye gari za aina hiyo hapo juu tajwa ajitokeze wafanye biashara ,period! Sasa kama huna izo gari piga kimya sio lazima uchangie kilaaa topic ,behave lads and ladies.
 
Now you are talking, akili yako ndogo usirudie tena kuparamia usivyovijua... Ushauri wa bure "JIHESHIMU NAWE UTAHESHIMIWA"
I think your level of appreciating issues is diminishing! Idiot!
 
I think your level of appreciating issues is diminishing! Idiot!

Si nilikwambia akili yako ndogo, unaona ushaanza matusi ambayo ndo silaha ya wenye akili finyu
 
Si nilikwambia akili yako ndogo, unaona ushaanza matusi ambayo ndo silaha ya wenye akili finyu
Yangu ndogo siyo? Sasa hebu iweke hapa akili yako tuone jinsi ilivyo "kubwa jinga"!
 
Kumbe ulikuwa kwenye Ligi? Kwahiyo wewe ni Man U au Somalia?

Wanawake ndo wanajiweza kulumbana, wanaume hatuwezi... Kwa hiyo we endelea tu naona jinsia yako inakuruhusu
 
Wanawake ndo wanajiweza kulumbana, wanaume hatuwezi... Kwa hiyo we endelea tu naona jinsia yako inakuruhusu
Akiwemo Mama yako, siyo? That's why I once told you that your level of appreciating issues is diminishing dramatically!
 
Akiwemo Mama yako, siyo? That's why I once told you that your level of appreciating issues is diminishing dramatically!

Yap, of course, naye si mwanamke kama wewe tu so the same thing
 
Kwanza uko wrong site with wrong claim.. utakuwa ushavurugwa na hao ccm wako.. Hivi kwanza we hujui kama kuna jukwaa la siasa na biashara humu kwe JF?!! We mgeni siyo..??? Kama unataka siasa si uende kwe jukwaa husika, eboo...!!, we vipi na njaa zako bwn. Kama huna hela hata ya baiskeli tuache wengine tutafute tunavyotaka.. Ukome kabisa kujibu pumba kwa vitu usivyoelewa na visivyokuhusu.. UKOME!!

tena akome, aende kwenye siasa huko! hapa tupo kwenye maswala ya biashara, watu wengine hata hawajielewi!
 
  • Thanks
Reactions: C.K
Nina spacio ya 2000,imetembea km 56000.imeingia november 2013.
Bei 7.5 m
 
We njaa tu huna lolote... Ushatoka kwenye toyota umeenda wap, na nani kakuuliza kwan
Huyo jamaa bana inamana ametoka mpaka wenye Toyota Landcruiser,wakina Hardtop,V8,VX,TX......na model nyingine expensive za Toyota?
 
  • Thanks
Reactions: C.K
kichwa cha somo hapo juu chahusika.. kwa aina nyingine iwe ni toyota tu isipokuwa hizi aina ya mark II sijui na nyinginezo zinazotumika sana kama za tax (hizo hapana). bei taja bei, mwaka na umbali iliyotembea. bila kusahau rangi na transmission type yake (automatic tu)

Wadau nashukuru kwa response zenu, hususan kwa wale wenye busara. Nimepata Alteza Gita ya 2005 so naomba msirepond tena kwe hii post... Nawatakia mwaka mpya wenye mafanikio...kiroho, kimwili, kiufahamu........
 
samahani mkuu, umeipata kwa bei gani, imetembea km ngapi na ni automatic ama? Nauliza hivo kwani nami naihitaji!
 
Back
Top Bottom