Si uende show roomNipo Dar, na napendelea zaidi anayeuza hilo gari akiwa Dar itakuwa safi sana. Nataka SUV mkuu sio dedan
Naiomba, aiiiiii weeeeewemimi nina RAV 4!
Si uende show room
mimi nina RAV 4!
bajeti yako.....?
Una sh. ngapi?
Umeshajenga? maana hii tabia ya kutuletea magari yenu kwenye nyumba za kupanga na kuanza kutusumbua kuhusu parking siyataki kabisa.
Umeshajenga? maana hii tabia ya kutuletea magari yenu kwenye nyumba za kupanga na kuanza kutusumbua kuhusu parking siyataki kabisa.