Natafuta Gari la kununua

Natafuta Gari la kununua

Benbella

Member
Joined
Jul 7, 2012
Posts
11
Reaction score
0
Habari wana JF
Natafuta gari la kununua. Napendelea zaidi Suzuki Escudo ambazo si V6 au RAV4. Liwe katika hali nzuri kimuonekano na lisiwe na matatizo ya kiufundi. Kama unalo au unajua mtu aliyenalo nicheck kwenye bendashy@gmail.com
Kwa mmiliki aambatanishe na picha za karibuni

Thanks

Ben
 
wewe ni chalii wa Arusha?achana na escudo...chukua mark ii 110. bei 15 million, full tank upo Arusha toka dar.
 
Nipo Dar, na napendelea zaidi anayeuza hilo gari akiwa Dar itakuwa safi sana. Nataka SUV mkuu sio dedan
 
Budget yangu ni 12m, kwa gari ambalo ntaridhika nalo kwa 90%-100%
 
Nipe namba yako, au tuwasiliana ekwa hiyo e-mail yangu. Nitumie na picha zake kama unazo
 
Kuna landcruiser prado tx 5doors,1kz engine,manul,252300km, limetengenezwa mwaka 1999. Ipo kwenye hali nzuri bei 25m
 
Umeshajenga? maana hii tabia ya kutuletea magari yenu kwenye nyumba za kupanga na kuanza kutusumbua kuhusu parking siyataki kabisa.

hahahaa afu ukute mwenye nyumba hana gari..anakomaje?..yaani this life is not fair..kuna nyumba moj aivi wapangaji woote wan amagari na wanayapaki apo nje mbele ya mwenye nyumba........mwenye nyumba hana gari...na analazimika kwenda kwa daladala ofisini kila siku na hataki lift ya mpangaji..........hahahaha nahisi anakaribia kugawa notis
 
Jamani mjini kuna foleni kusimama kwenye daladala shida wacha watu wanunue magari, ukijenga nyumba utapanda nyumba?
 
Back
Top Bottom