Ene_transporter
Member
- Jun 4, 2024
- 13
- 11
Bro nipigie 0783610244Hesabu kiasi gani kwa week??
Na service ni juu yako?
Dah kaka shinyanga kipengele kakaMwanetu kweli unashida ya kazi ila kama kweli we babu dele na chuma linakuchomoka vilivyo njoo shinyanga rohumbo kwenye camp ya sgr uchukue gari na mkataba
wanatoa gari za aina gani hao...?Mwanetu kweli unashida ya kazi ila kama kweli we babu dele na chuma linakuchomoka vilivyo njoo shinyanga rohumbo kwenye camp ya sgr uchukue gari na mkataba
Basi poa komaaDah kaka shinyanga kipengele kaka
Huna shida ya kazi we mdogo wanguDah kaka shinyanga kipengele kaka
Mtu anatafuta kazi alafu anajipangia eneo πππHuna shida ya kazi we mdogo wangu
πππ Hampo Tz bhnWatu wa Dar bhana uwa wanaona wa mikoani ka tunishi ushenzini