Mwanetu kweli unashida ya kazi ila kama kweli we babu dele na chuma linakuchomoka vilivyo njoo shinyanga rohumbo kwenye camp ya sgr uchukue gari na mkataba
Mkuu naomba kujua huko km kuna gari kwa dereva mwenye leseni A,B,C1,C2,C3,D
Naendesha coaster, canter,pickup,