M MWINYMVUA Member Joined Jun 28, 2015 Posts 35 Reaction score 10 Jul 3, 2024 #21 Askari kioja said: Mwanetu kweli unashida ya kazi ila kama kweli we babu dele na chuma linakuchomoka vilivyo njoo shinyanga rohumbo kwenye camp ya sgr uchukue gari na mkataba Click to expand... Mkuu naomba kujua huko km kuna gari kwa dereva mwenye leseni A,B,C1,C2,C3,D Naendesha coaster, canter,pickup,
Askari kioja said: Mwanetu kweli unashida ya kazi ila kama kweli we babu dele na chuma linakuchomoka vilivyo njoo shinyanga rohumbo kwenye camp ya sgr uchukue gari na mkataba Click to expand... Mkuu naomba kujua huko km kuna gari kwa dereva mwenye leseni A,B,C1,C2,C3,D Naendesha coaster, canter,pickup,