Natafuta gari ya kusafirisha maiti (coaster) kutoka Dar to Musoma

Natafuta gari ya kusafirisha maiti (coaster) kutoka Dar to Musoma

Requal

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2020
Posts
1,025
Reaction score
1,917
Wakuu habarini za humu.
Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza, natafuta gari ya kusafirisha maiti kutoka Dar to Musoma, iwe katika Hali nzuri.

Kwa walio nazo, offer za bei zenu toeni hadharani kwenye comment nitakaefikia nae muafaka nitamfuata DM tukamilishe dili
 
Kinondoni Biafra pale utachagua unayoitaka na mtafanya maongezi kuhusu Bei. Yapo mengi Kwa ajili hiyo.

Hapa uwezekano wa kupigwa au kuingizwa mkenge rahisi sana japo unaweza kupata nzuri pia.
 
Kinondoni Biafra pale utachagua unayoitaka na mtafanya maongezi kuhusu Bei. Yapo mengi Kwa ajili hiyo.

Hapa uwezekano wa kupigwa au kuingizwa mkenge rahisi sana japo unaweza kupata nzuri pia.
Sawa mkuu
 
Najua Biafra ipo, nimekuja hapa kujua naweza pata usaidizi wa haraka
Kumbe unajua yalipo? Sidhani kama hapa utasaidika haraka kuliko kule maana kule ni sokoni kwenye bei maelewano. Wengi wamekushauri hivyo.
 
0717 160 677 Mcheki huyo jamaa anacoster mayai sana anapaki pale muhimbili alinisafirishia msiba kutoka Dar - Biharamulo kwa bei poa sana!
 
Wakuu habarini za humu.
Kichwa Cha habari hapo juu kinajieleza, natafuta gari ya kusafirisha maiti kutoka Dar to Musoma, iwe katika Hali nzuri.

Kwa walio nazo, offer za bei zenu toeni hadharani kwenye comment nitakaefikia nae muafaka nitamfuata DM tukamilishe dili
Poleni, mchek huyu jamaa ni mwenyekiti wa wenye Coster pale Maeneo ya Ubungo External Namba 0715999661 niliwahi kufanya nae kazi!!
 
Nakushauri ni bora uende Biafra hayo mambo ya inbox watu wanaweza wakakuchukilia hiyo nauri ya kusafirisha maiti .

Pole kwa msiba
 
Sogea pale kinondoni Biafra wapo wengi utachagua mwenyewe, ila kuna jamaa mmoja Dogo Ras, nimecheki namba yake sijaiona yupo poa sana, pole kwa msiba
 
Wakuu habarini za humu.
Kichwa Cha habari hapo juu kinajieleza, natafuta gari ya kusafirisha maiti kutoka Dar to Musoma, iwe katika Hali nzuri.

Kwa walio nazo, offer za bei zenu toeni hadharani kwenye comment nitakaefikia nae muafaka nitamfuata DM tukamilishe dili
Habari mkuu pole kwa tatizo.
1. Huko Musoma ni pale pale mjini?
2. Tutakaa siku ngap baada ya kufika?
Hii itanisaidia kukupa bei

Karibu
 
Back
Top Bottom