Natafuta Gari ya mizigo. (Isuzu Injection)

Natafuta Gari ya mizigo. (Isuzu Injection)

Trinity

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
1,828
Reaction score
3,508
Nawasalimu nyote Katika jina kuu lipitalo majina yote.!
Straight forward, nimepigiwa simu na mzee wangu yapata mwezi umepita anahitaji kununua gari ya mizigo used inaitwa isuzu injection.
Amenisisitiza zaidi ya mara 3 nikaona kweli yupo serious, Nilimuahidi kumtafutia hivyo nipo hapa kutekeleza agizo.
Ni pm picha ili nikuunganishe nae kwa maelewano zaidi.
Screenshot_20230329-195900.jpg
 
Za nini hizo old model sterling kukata unanzia mbali
 
Iringa maeneo ya Mufindi,Mgogolo yapo yanabeba magogo ya miti ila body wanaziweka zimekuwa flat bed pembeni wanaweka nguzo wakati wa kubeba magogo. Hata ukiipata body imechoka na chasis imeungwa sana
 
Back
Top Bottom