Natafuta gari ya ml. 4

Natafuta gari ya ml. 4

[emoji736]
1724495305705_1.jpg
 
NINA 4,000,000

NIPE MOJAWAPO 👇
Nissan extrail, alteza, markx , mark2 markX, brevis
Utapata mojawapo ya hizi, kwa bei hiyo, ikiwa katika hali nzuri tu.
  1. Mark II - Cresta (GX 100/110)
  2. Brevis
Sio rahisi kuata Extrail kwa bei hiyo wala altezza. Mie nilipata Cresta kwa beio hio kunako 2021 na inaduna mpaka leo, iko vozuri sana, namba C.
 
Unakuta mtu anaishi kwa shemeji yake yaani ni KKB (Kula kulala bureee)
Alaf anadharau gari aina ya passo WAKATI hajawahi hata kumiliki milioni moja ya pamoja.

Sikuzungumzii wewe nazungumzia baadhi ya watanzania wenzangu wenye hiyo kasumba.
Acha tu ndugu, kuna watu wanadharau, halafu ukija kukutana nae live ndio wale wa pangu pakavu. Mie nina gari nilinunua milioni 4 kunako 2021, inapiga kazi vizuri tu mpaka dakika hii. Haijawahi kuwa na changamoto kubwa zaidi ya marekebisho madogo ya kawaida.
 
Peleka Shamba hiyo Hela au Kaiwekeze kwa wale Jamaa wanaotangazwa na yule Mnafiki wa Channel Ten upige Hela ila katika Gari kwa hiyo Hela utalipata ambalo Bovu ( Mkangafu ) ambalo kila Wiki litakugharimu ulipeleke Gereji kwa Matengenezo.
Sio kweli bro, nina gari nzima kabisa niliipata kwa bei hio. Mwaka wa tatu huu inapiga kazi, tenda naipiga trip ndegu sana kila wakati, zaidi ya kilometa 1000 kwa trip.
 
Utapata mojawapo ya hizi, kwa bei hiyo, ikiwa katika hali nzuri tu.
  1. Mark II - Cresta (GX 100/110)
  2. Brevis
Sio rahisi kuata Extrail kwa bei hiyo wala altezza. Mie nilipata Cresta kwa beio hio kunako 2021 na inaduna mpaka leo, iko vozuri sana, namba C.
Nishapata verosa mkuu Kali sana japo namba C
 
Back
Top Bottom