daydreamerTZ
Senior Member
- Sep 26, 2020
- 146
- 233
Habari ndugu, naombeni msaada kwa yeyote mwenye gazeti la HABARI LEO la Leo tarehe 04/09/2024 anisaidie jambo.
Nimepoteza vyeti vyangu vyoye vya elimu hivyo ilinipasa kuandaa tangazo kwenye gazeti na Leo ndiyo siku tangazo hili limetoka lakini kwa bahati mbaya nikapatwa na msiba hivyo sikufanikiwa kununua nakala yangu.
Nitashukuru kwa msaada wenu Asanteni