daydreamerTZ
Senior Member
- Sep 26, 2020
- 146
- 233
Upo wapi?Habari ndugu, naombeni msaada kwa yeyote mwenye gazeti la HABARI LEO la Leo tarehe 04/09/2024 anisaidie jambo, Nimepoteza vyeti vyangu vyoye vya elimu hivyo ilinipasa kuandaa tangazo kwenye gazeti na Leo ndiyo siku tangazo hili limetoka lakini kwa bahati mbaya nikapatwa na msiba hivyo sikufanikiwa kununua nakala yangu.
Nitashukuru kwa msaada wenu Asanteni
morogoro mkuuUpo wapi?
Kama upo mjini hapo nenda stendimorogoro mkuu
Nipo vijijini huku Mvuha, nitajaribu kuagiza kesho asubuhi Asante sanaKama upo mjini hapo nenda stendi
Pole . Ingekuwa mchana ningekununulia.. but option yangu ya mwisho nenda maktaba ya mkoa hapo moro or wapigie TSN wenyewe wachapishaji wa gazetiNipo vijijini huku Mvuha, nitajaribu kuagiza kesho asubuhi Asante sana
sawa mkuu Asante sanaPole . Ingekuwa mchana ningekununulia.. but option yangu ya mwisho nenda maktaba ya mkoa hapo moro or wapigie TSN wenyewe wachapishaji wa gazeti