Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
Mwenzenu huwa nawazimia sana akina dada wajawazito. Hivyo naomba tuwasilane
Wewe sema unatafuta wake za watu. Alafu nyie ndo mkiona mke wa jirani yenu kapata mimba mnajifanya kuwa karibu nao ili muonekane mmependwa kwa mimba husika.
We kaoe wakwako. Kama huna uwezo wakutunga mimba basi mimi ntakusaidia.
pia ni vyema ukumbuke kuwa ata ukimpata huyo si girlfriend bali ni womanfriend au wifefriend.