awe anajishughulisha,i.e. Biashara au kazi... Asiwe muongo,sichagui dini,kabila,rangi,wala utaifa,, awe tayari kupima..... Me ni muajiriwa.... Nakaribisha maombi...
yani miaka 30 hadi45 unasema girlfriend? huyo sio girlfriend ni woman-friend...may be thts the reason huna mtu mpk sasa ujaribu kubadilisha mtazamo..wao kwa umri huo wao wanaota ndoa,familia na watoto kila wakilala afu we unaita girlfriend..so wakikutana na mtu kama wewe wanahisi ni sawa na kupoteza muda so hawakupi hata chance...
Humu unaweza ukachelewa mkuu! Kwa umri huo wa 40 somethin' kwa haraka si m'pm Anna Makinda yuko free ! Ukitaka username yake ni'pm ntakupa bila gharama!
awe anajishughulisha,i.e. Biashara au kazi... Asiwe muongo,sichagui dini,kabila,rangi,wala utaifa,, awe tayari kupima..... Me ni muajiriwa.... Nakaribisha maombi...