Natafuta girlfriend atakayekuwa mke baadae

Natafuta girlfriend atakayekuwa mke baadae

Chiponzo Chinkunza

New Member
Joined
Apr 18, 2020
Posts
2
Reaction score
4
Nina umri wa miaka 27 natafuta girl awe na umri kuanzia miaka 21-24 awe mkristo nipo serious akiwa Kanda ya Ziwa itapendeza sana
 
Hongera sana mkuu na kila la kheri katika harakati za kutafuta Girl.
 
Mbona hujaweka masharti na vigezo kama wenzio
 
Back
Top Bottom