Natafuta girlfriend for serious relationship

just-imagine

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
374
Reaction score
449
Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mwanamke/msichana wa sifa zifuatazo:-

>Awe kabila lolote kwani kwangu hiki sio kigezo (no one decided to be in any of the tribe available)
>Rangi pia yoyote, mweusi, mweupe mimi sawa tu.
>Dini sina mashaka nayo sana ila akiwa mkristo itapemdeza ila hata waislam karibuni swala kubwa uweze kuwa tayari for serious relationship.
>Awe ana kazi yeyote au ilimradi asiwe anakaa mtaani kizembe.
> Umri kuanzia miaka 20- 26 ingawa hata akizidi hapo sio mbaya (age ain't nothing but a number)
>Umbo lolote maana naamini mnene au mwembamba wanaweza kupungua kama wakiamua so hivi ni vitu vya mabadiliko tu.
>Elimu kuanzia form four maana nataka tuwe tunafanana kidogo mawazo ili tupate ku share ndoto zetu.

Sifa zangu ni:-
>Mimi ni mweusi na mrefu
>Elimu yangu ni ya chuo kikuu na ninafanya kazi hivyo sio tegemezi kwa chochote kile.
> Nina ndoto (i have dream) of which lazima itimie, all i want is to share with people.
>Mimi ni mtu wa Nyanda za chini Kusini-Magharibi.
>Am good at loving back.

Any serious please PM me nitakujibu.
 
Vigezo rahisi hivyo watakuogopa mkuu au una ngomaa mana mwanamke yeyote, rangi yeyote na shape yeyote mmmmhhh si bure.
 
Vigezo rahisi hivyo watakuogopa mkuu au una ngomaa mana mwanamke yeyote, rangi yeyote na shape yeyote mmmmhhh si bure.

hahahhahahahaha mkuu umesema ukweli jamaa kalegeza sana
 
Vigezo rahisi hivyo watakuogopa mkuu au una ngomaa mana mwanamke yeyote, rangi yeyote na shape yeyote mmmmhhh si bure.

hahahhahahahaha mkuu umesema ukweli jamaa kalegeza sana
 
Haya mambo yakutafuta wenza mitandaon
Sometimes uleta changamoto kwenye mahusiano!!!
Kila LA kheri but KUWA MAKINI
 
Kiinglish chako kitakunyima mke.

Huwa najiuliza sana huwa huko mnapoishi hakuna wanawake kwani mpaka mje kuwatafuta humu?

Wote unaowaona humu wana watu wao, ukiona ngedere mjini ujue amefugwa mkuu usimparamie tu
 
[emoji23][emoji23] ila jf hamna dogo akikaza mashart ooh kabana mno akilegeza ooh si bure sasa mtu afanyaje.duh! Utampata mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…