just-imagine
JF-Expert Member
- Aug 18, 2015
- 374
- 449
Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mwanamke/msichana wa sifa zifuatazo:-
>Awe kabila lolote kwani kwangu hiki sio kigezo (no one decided to be in any of the tribe available)
>Rangi pia yoyote, mweusi, mweupe mimi sawa tu.
>Dini sina mashaka nayo sana ila akiwa mkristo itapemdeza ila hata waislam karibuni swala kubwa uweze kuwa tayari for serious relationship.
>Awe ana kazi yeyote au ilimradi asiwe anakaa mtaani kizembe.
> Umri kuanzia miaka 20- 26 ingawa hata akizidi hapo sio mbaya (age ain't nothing but a number)
>Umbo lolote maana naamini mnene au mwembamba wanaweza kupungua kama wakiamua so hivi ni vitu vya mabadiliko tu.
>Elimu kuanzia form four maana nataka tuwe tunafanana kidogo mawazo ili tupate ku share ndoto zetu.
Sifa zangu ni:-
>Mimi ni mweusi na mrefu
>Elimu yangu ni ya chuo kikuu na ninafanya kazi hivyo sio tegemezi kwa chochote kile.
> Nina ndoto (i have dream) of which lazima itimie, all i want is to share with people.
>Mimi ni mtu wa Nyanda za chini Kusini-Magharibi.
>Am good at loving back.
Any serious please PM me nitakujibu.