Natafuta girlfriend from moro

Natafuta girlfriend from moro

fbytel0000

Senior Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
106
Reaction score
74
hey niaje, nahitaji girlfriend wa kujivinjari naye..awe anaishi morogoro itakuwa poa sana
nitumie private message:tonguez:
 
Yaani wewe umejiunga na JamiiForums leo hii hii, na hii ndo post yako ya kwanza, halafu eti unatafuta demu humu na hicho kiswahili chako cha ajabu ajabu "hey niaje", hivi unawajua mademu wa humu kweli? Unadhani hapa ni FaceBook? Ngoja waje, naniiiii.... lara1, Heven on Earth, Madame X, Madame B, Miss Chagga, Charming Lady, Lady Furahia, Miss Strong na wengineo wenge... Hebu njoeni mjionee hapa!

Mbona wanitisha
 
Mbona wanitisha

Hutishwi naelezwa ukweli,
maana yaonekana uumetoka ulikotoka ukaambiwa JF kuna mademu wa bwerere.

ONYO
usije tu ukanunuliliwa na kumegwa badala ya kumega!
 
Last edited by a moderator:

Nemekusoma bro!!!
 
Last edited by a moderator:
Aisee ngoja waje hao wadada utakoma hpa ni Jamii forum Siyo Facebook
 
Back
Top Bottom