Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
nakubali lazima ujitambue but sio kutumia vibaya uzuri wako au kujisifia,wengine wamejitambua na kuharibika ktk kujitambua.Kwahiyo bora usijitambue kwasababu ukijitambua unaweza ukatumia vibaya mazuri yako????
Alafu swala la kusifiwa na kujitambua vinahuasiana vipi???Maana nzima ya kujitambua ni wewe mwenyewe kujijua ni nani/uko vipi n.k bila kutegemea mtazamo wa watu wengine.