Natafuta girlfriend

Natafuta girlfriend

mdavaa

Member
Joined
May 24, 2014
Posts
42
Reaction score
15
Natafuta mpenzi, i mean girlfriend around kanda ya ziwa. Awe anamcha Mungu dini zote sawa na mwenye kujiheshimu. Rika yoyote

Sifa zangu
Umri: Miaka 23
Elimu: Diploma ya Ustawi wa Jamii
Kimo: Mrefu kiasi
Rangi: Maji ya kunde
Makazi: Musoma

Nifate PM kwa maelezo zaid na mawasiliano pia
 
Back
Top Bottom