MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Mimi ni kijana mtanashati, mtiifu, mpole, na mwenye kujali hisia za mtu. umri wangu ni miaka 24. natafuta rafiki wa kike(girlfriend) na kama ikitokea nikaendana nae kitabia basi awe mke wangu! naishi Dar es salaam maeneo ya ubungo kibangu. sifa za atakae nifaa ni hizi hapa:
nb.AWE NA ELIMU YA AINA YOYOTE
for the one who meets the qualifications above, please PM me!!!
- Awe anajiheshimu
- awe na malengo kwa maisha ya baadae
- japo tunapenda pesa ila asiwe mpenda pesa zaidi
- awe mwaminifu katika mahusiano
- awe tayari kutambulishwa kwa ndugu jamaa na marafiki na sio "ooh kesho, mara kesho kutwa" nk
- awe ni mtu anaejua nini maana ya maisha
- awe na umri kuanzia miaka 20-25
nb.AWE NA ELIMU YA AINA YOYOTE
for the one who meets the qualifications above, please PM me!!!