Wapendwa ninajitokeza kwenu, kwa mara ya kwanza kuwaeleza kuhusu swala hili serious. natafuta girlfriend ambaye atanifaa mwenye sifa zifuatazo:-
1.awe na umri kuanzia 18-24 (mimi nina umri wa miaka 25)
2.asiwe mkorofi
3.awe na elim at least form 4
4.awe mpenda maendeleo
5.asiwe mnywaji (kunywa pombe kupindukia)
6.awe mkarimu
7.asiwe mnene sana
sichagui dini,rangi wala kabila. ila tu awe tayari kwa ajiri ya mipango ya ndoa . please kwa aliye serious!