Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,655
- 2,506
Wanaziuza kwa watu wanaokiuka taratibu za Play, malware na ushenzi mbalimbali, kama unafuata taratibu za Play Google hawajakaza kihivyo juzi juzi tu nimemsaidia mtu kufungua account na kupublish bila tatizo kwa fee yao ya kawaida tu.
Kama una ndoto za kutoa app yoyote Play huko mbeleni uziuze account wakienda kupigwa ban mbele na wewe unaweza kula ban kama "associated" developer, ban ya Play ni ya kudumu kwa maisha.
Kama una ndoto za kutoa app yoyote Play huko mbeleni uziuze account wakienda kupigwa ban mbele na wewe unaweza kula ban kama "associated" developer, ban ya Play ni ya kudumu kwa maisha.