Sidhani kama ipo hivyo..Wanaziuza kwa watu wanaokiuka taratibu za Play, malware na ushenzi mbalimbali, kama unafuata taratibu za Play Google hawajakaza kihivyo juzi juzi tu nimemsaidia mtu kufungua account na kupublish bila tatizo kwa fee yao ya kawaida tu.
Kama una ndoto za kutoa app yoyote Play huko mbeleni uziuze account wakienda kupigwa ban mbele na wewe unaweza kula ban kama "associated" developer, ban ya Play ni ya kudumu kwa maisha.
kama huna matumizi nayo uza kwa pesa nzuri 800,000 mpka 2,000,000Ninayo ya miaka 8, mnazitakia nini? Ni sababu ya hizo page zinazokuwa reject na hiyo report?
Wanatumia njia tofauti kukulink hawategemei email tu, njia kamili ni siri yao ila kuna obvious things kama payment account ukitumia kadi ile ile, app zenyewe na signature zake, kuna watu wanasema hadi IP Address ila hili sidhani maana IP sio unique kihivyo.Sidhani kama ipo hivyo..
kwa mfano mm nina account jsgdfytt@gmail.com nikaiuza ikapigwa ban.
siku nikinunua/fungua nyingine labda tuiite vxqwtags@gmail.com nitakuwa associated vipi na ile ya mwanzo
Google ana data za kila mtu atashindwaje kukujua? Wakiamua wanajua hata unafanya nn nowWanatumia njia tofauti kukulink hawategemei email tu, njia kamili ni siri yao ila kuna obvious things kama payment account ukitumia kadi ile ile, app zenyewe na signature zake, kuna watu wanasema hadi IP Address ila hili sidhani maana IP sio unique kihivyo.
Utapeli tu. Mtu unamwambia aweke hela anaanza uswahiku, sasa kama sio utapeli ni nn?sasa boss unapewa hela halafu unasema mtu tapeli ...si biashara boss wew ulitaka akupe ngapi..?
policy za google Zimebadilika...kwa maana hiyo zina athiri kutengeneza account mpya...
walio na za zamani wanapeta tu kwa sasa
jamani mwenye console anicheki tuyajenge 0677 818283
mlikukutana ana kwa ana au online tu..Utapeli tu. Mtu unamwambia aweke hela anaanza uswahiku, sasa kama sio utapeli ni nn?
Ww ndo una shida so weka hela upewe account.
Sidhani kama ipo hivyo..
kwa mfano mm nina account jsgdfytt@gmail.com nikaiuza ikapigwa ban.
siku nikinunua/fungua nyingine labda tuiite vxqwtags@gmail.com nitakuwa associated vipi na ile ya mwa
Ongezea,Wanatumia njia tofauti kukulink hawategemei email tu, njia kamili ni siri yao ila kuna obvious things kama payment account ukitumia kadi ile ile, app zenyewe na signature zake, kuna watu wanasema hadi IP Address ila hili sidhani maana IP sio unique kihivyo.
Na ukifungua console account saiv inahitajika ku verify ID & Adress proof.Ongezea,
1. Ukitumia same device & browser
2. Ukitumia same signing keys
3. Same source code za app
4. Same phone number ya verification of email au 2 factor authentication
In short ukipigwa ban anza upya kwanzia computer ya development au ubadili OS pia ubadili na information za ku create account pamoja na payment methodN