Mgimilamaganga
JF-Expert Member
- Mar 31, 2019
- 271
- 260
Habari za muda huu wana JF,
Bila kupoteza muda,siku ya Ijumaa natarajia kuanza safari ya kutoka Dar Es Salaam kuelekea Katavi kwa shughuli binafsi na natarajia kupita DODOMA kwa mara ya kwanza. Hivyo nitapumzika hapo mjini angalau kwa usiku mmoja kwa ajili ya kutalii kidogo kisha nitaendelea na safari.
Sasa naomba kujulishwa jina na mahali ambapo naweza kupata chumba cha kulala kwa bei ya 10,000-20,000 karibu na stendi kuu na usalama uwe wa uhakika.
Pia,pawe na utulivu na pasiwe na wanawake wa kujiuza.
Wenyeji wa Dodoma msaada tafadhali.