Mgimilamaganga
JF-Expert Member
- Mar 31, 2019
- 271
- 260
- Thread starter
- #21
Anhaa,na hizo ndo contacts zao,au siyo?Mimi si owner; nimekuagizia sehemu ambayo nimewahi kulala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anhaa,na hizo ndo contacts zao,au siyo?Mimi si owner; nimekuagizia sehemu ambayo nimewahi kulala
Asante sanaTsh 10,000 kama itakuwa haijapanda wala kushuka...
Ni mbali na stand ya 88
Mitaa ya Ilazo,Emaus sio mbali na 88 anaweza kupataJe kwa mgeni anayetaka kuwahi usafiri alfajiri anaweza kupata malazi eneo la 88?
Habari za muda huu wana JF,
Bila kupoteza muda,siku ya Ijumaa natarajia kuanza safari ya kutoka Dar Es Salaam kuelekea Katavi kwa shughuli binafsi na natarajia kupita DODOMA kwa mara ya kwanza. Hivyo nitapumzika hapo mjini angalau kwa usiku mmoja kwa ajili ya kutalii kidogo kisha nitaendelea na safari.
Sasa naomba kujulishwa jina na mahali ambapo naweza kupata chumba cha kulala kwa bei ya 10,000-20,000 karibu na stendi kuu na usalama uwe wa uhakika.
Pia,pawe na utulivu na pasiwe na wanawake wa kujiuza.
Wenyeji wa Dodoma msaada tafadhali.
Naona watu wanakupoteza hapa. Kuna fact zifuatazo unatakiwa uzijue kuhusu Dodoma;Habari za muda huu wana JF,
Bila kupoteza muda,siku ya Ijumaa natarajia kuanza safari ya kutoka Dar Es Salaam kuelekea Katavi kwa shughuli binafsi na natarajia kupita DODOMA kwa mara ya kwanza. Hivyo nitapumzika hapo mjini angalau kwa usiku mmoja kwa ajili ya kutalii kidogo kisha nitaendelea na safari.
Sasa naomba kujulishwa jina na mahali ambapo naweza kupata chumba cha kulala kwa bei ya 10,000-20,000 karibu na stendi kuu na usalama uwe wa uhakika.
Pia,pawe na utulivu na pasiwe na wanawake wa kujiuza.
Wenyeji wa Dodoma msaada tafadhali.
Si mbali, sema zipo makazi ya watu wa kawaida sana Dodoma.Asante kwa kunijulisha,vipi ni mbali sana na Terminal?
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi muruaNaona watu wanakupoteza hapa. Kuna fact zifuatazo unatakiwa uzijue kuhusu Dodoma;
1. Stand ilipo hakuna guest hata moja iko nje ya mji.
2. Kutoka stand ilipo kwenda mjini katikati ni umbali wa dak 30 hadi 45 kwa daladala za kawaida.
Hivyo kwa maana hiyo mtu akikutajia guest ambayo iko karibu na stand anakudanganya.
Unachotakiwa kufanya. Ukifika stand kuu Dodoma waambie wakushushe mjini (Makole au CBE, ukishashushwa hapo kuna ofisi nyingi za mabasi ya kwenda Mwanza ambayo asubuhi hata usipoenda stnd kuu unaweza pandia hapo, watakupa maelekezo.
Pia hapo hapo maeneo hayo luna guest nyingi sana ambazo zitakuwa za karibu na bei yeyote utakayotaka.
Angalizo: maeneo haya pia ndio Bunge lipo, so kunauwezekano pamejaa sana lakini ukifika mapema ni rahisi kupata sehemu nzuri na ya na ya bei unayotaka wewe.
Naweza kupata mawasiliano yao tafadhali?mpenda lodge au naima lodge..barabara kuu..njia panda ya kwenda area d...bei 15000..self contained room.....aisee
Ni vema kuuliza kuliko kuingia kichwakichwa tu.Mtu anayeulizia bei za vyumba vya kulala namfananisha na mtu anayeingia hotel na kuanza kuuliza @ misosi na bei zake..hD soda atauliza..kwahyo ukiniletea ugali mboga mbog na soda inakuwa sh ngap[emoji848][emoji848]!heee hapa soda mnauza 700???[emoji848][emoji848]!
Hongera kijana kwani Morogoro baridi kali sana mida hii, i hope hata huko mda huu Baridi iko kwa kasi pia. Msalimie tu shemeji yangu[emoji23][emoji23][emoji23]Naweza kupata mawasiliano yao tafadhali?
Maili mbili uko uelekeo mwingine kabisa... Maili mbili ipo kama unaenda Arusha kupitia Kondoa...Maili2 ni kabla ya stand 88 au baada kama umetokea Dar?
Asante kwa ushauri mzuri lakini lengo kuu la kupumzika Dodoma ni la kiutalii zaidi,ili nipate cha kusimulia siku za usoni.Unaenda Katavi bilashaka ni Mpanda then ukapumzike Dodoma! Kwann usipimzike Tabora kwasabb unaweza kujikuta unalala tena Tabora kwasabb kutoka dom mpaka Tabora utafika mchana sana hakutakuwa na Gari la kukufanya uendelee na safari! Ushauri wangu kapumzike Tabora
HahaHongera kijana kwani Morogoro baridi kali sana mida hii, i hope hata huko mda huu Baridi iko kwa kasi pia. Msalimie tu shemeji yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
I reserve this comment,itanifaa siku za baadae ubarikiwe sanaNaona watu wanakupoteza hapa. Kuna fact zifuatazo unatakiwa uzijue kuhusu Dodoma;
1. Stand ilipo hakuna guest hata moja iko nje ya mji.
2. Kutoka stand ilipo kwenda mjini katikati ni umbali wa dak 30 hadi 45 kwa daladala za kawaida.
Hivyo kwa maana hiyo mtu akikutajia guest ambayo iko karibu na stand anakudanganya.
Unachotakiwa kufanya. Ukifika stand kuu Dodoma waambie wakushushe mjini (Makole au CBE, ukishashushwa hapo kuna ofisi nyingi za mabasi ya kwenda Mwanza ambayo asubuhi hata usipoenda stnd kuu unaweza pandia hapo, watakupa maelekezo.
Pia hapo hapo maeneo hayo luna guest nyingi sana ambazo zitakuwa za karibu na bei yeyote utakayotaka.
Angalizo: maeneo haya pia ndio Bunge lipo, so kunauwezekano pamejaa sana lakini ukifika mapema ni rahisi kupata sehemu nzuri na ya na ya bei unayotaka wewe.
ipo nje ya mji au town kabisa? vip umbali kutoka hapo had stand kuu ya mabasi? zaid ya yote kuna totoz hapo za kutoa kampan?Nilifikia hapa,shukrani kwa aliyenielekeza,kwa kweli ni nyumba bora ya kulala wageni.View attachment 1109630
Lakini bei ni Tsh.25,000 na si 15,000.