Mgimilamaganga
JF-Expert Member
- Mar 31, 2019
- 271
- 260
Asante kwa kunijulisha,vipi ni mbali sana na Terminal?Zipo nyingi tu maeneo ya Swaswa, Maili mbili, Chang'ombe na majengo
Isizidi kilomita 1Kwako umbali unaanzia km ngapi mkuu?
Gharama ya chumba vipi?Wakati huu wa bunge tegemea kulala nje Dodoma. Gest huwa zinajaa. Hata zile za book kumi kumi huwa ni shida kupata. By the way, ulizia lodge inaitwa Kivukoni iko hapo Emausi ya kwanza. Wa boda boda watakufikisha.
Fanya booking NAAM Hotel iko Area C - 0625657927Habari za muda huu wana JF,
Bila kupoteza muda,siku ya Ijumaa natarajia kuanza safari ya kutoka Dar Es Salaam kuelekea Katavi kwa shughuli binafsi na natarajia kupita DODOMA kwa mara ya kwanza. Hivyo nitapumzika hapo mjini angalau kwa usiku mmoja kwa ajili ya kutalii kidogo kisha nitaendelea na safari.
Sasa naomba kujulishwa jina na mahali ambapo naweza kupata chumba cha kulala kwa bei ya 10,000-20,000 karibu na stendi kuu na usalama uwe wa uhakika.
Pia,pawe na utulivu na pasiwe na wanawake wa kujiuza.
Wenyeji wa Dodoma msaada tafadhali.
Bei gani chumba hapoFanya booking NAAM Hotel iko Area C - 0625657927
Maintain status single 20,000. Hizo guest unazotafuta hutapata hata maji ya moto na ndani kuta zimebanduka rangi kutokana magadiBei gani chumba hapo
Asante kwa maelezo ya kujitoshelezalala lombeta guest ipo karibu na standi ni katikati ya mji.bei ni 10.000 self contain.piga simu0755694225
TutawasilianaMaintain status single 20,000. Hizo guest unazotafuta hutapata hata maji ya moto na ndani kuta zimebanduka rangi kutokana magadi
Stendi hapana aiseeUtalala stend vyumba bei juu sana,kati ya sehemu ambazo huwa sipendi kulala ni pamoja na dodoma
Ni mbali na stand ya 88Maili2 ni kabla ya stand 88 au baada kama umetokea Dar?
Tsh 10,000 kama itakuwa haijapanda wala kushuka...Gharama ya chumba vipi?
Mimi si owner; nimekuagizia sehemu ambayo nimewahi kulalaTutawasiliana