Natafuta Guest House inayoanzia 10,000-20,000 Dodoma Mjini

ndio yaliyonikuta, saa 2 usiku nilitembea lodge kama 7 zote zimejaa, mji huu sijui unajazwa na watu gani
 
ndio yaliyonikuta, saa 2 usiku nilitembea lodge kama 7 zote zimejaa, mji huu sijui unajazwa na watu gani
Ukiona hivo jua ni mji mdogo sana na unajaa kwa msimu, wawekezaji wanaogopa biashara ya msimu
 
Ukiona hivo jua ni mji mdogo sana na unajaa kwa msimu, wawekezaji wanaogopa biashara ya msimu
Mkuu Dodoma mjini kuna Guest houses na lodges nyingi sana tena sana, na zinajaa mapema.
Sema nyingi ni low standard za 20 - 25k, chache ndio zinaenda juu ya hapo, halafu cha ajabu sasa hizo za juu ndio zinawahi kujaa.
Za vichochoroni za 10-15k ni kama zile za buku 5 Manzese, mbaya kweli kweli lakini bado watu wanalala na zinajaa.
 
Ipo Moja ni mpya maeneo ya hazina jirani na ukumbi w Roma inaitwa Omax lodge ni nzuri Tena budget yako inatuhusu
 
Na hii ni kwa siku ya jumamosi,ninachowasifu hizi screenshots ni zile za free tips tu.Sisi ambao tupo ulimwengu wa tatu wanatubeba sana.
 
Attachments

  • Screenshot_20230925_171741.jpg
    71.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20230925_171746.jpg
    63.7 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…