Natafuta Gyna mzuri..

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
Habari za mihangaiko wapendwa

Please naomba kama kuna Gynecologist hapa JF ani PM namba yake niwasiliane nae
ama kama kuna mtu anamfahamu yeyote mzuri na ana contact zake please anisaidie
..
Sijapenda kuweka swali langu hapa barazani..

Wenu mtiifu FL !

:A S-coffee:
 
mmmh mimi hapa ni pm firslady usiogope shosti
mashost wa ukweli hatupotezani kumbuka
 
mmmh mimi hapa ni pm firslady usiogope shosti
mashost wa ukweli hatupotezani kumbuka

smile thank you so much mamy

wajua nahitaji nini No za simu nimpigie tuongee nina mambo fulani yananitatiza , Niambie kweli basi nikutwangie uniweke sawa shost:A S 465:
 
Mie namjua mmoja ila namba nimesahau yuko pale Mbuyuni (Dar) Clinic yake inaitwa (Maria Clinic)

AAAAAAAAAAAAH desidii mbona umeadimika namna hiyo kwanini lakini ...

Asante sana nikitembelea mitaa hiyo .nitamcheki ..
 
Mmmm...nilikuwa napita tu! FL1, hata hivyo pole kwa yanayokusibu (kama yapo)!

Kama wasipojitokeza unaweza kumPM Dr Riwa, nina hakika atakuwa anajua vizuri zaidi wapi/vipi unaweza kupata hiyo huduma.
 

Kumbe wewe ni mtiifu au kwa sababu....
 


Ngoja nikuPM unipe dili hili fasta
 
Kuna Dr Kapona na Dr shafiq. Kama hujakutana nao bado ni-pm nikupe namba zao. All the best mamii
 

FL sio vizuri kusema Daktari mzuri, as long as has the right qualification. It is unethical kwenye udaktari mmoja kujitambulisha kama ni mzuri zaidi ya wengine ndio maana unaona madaktari wa "ukweli" hawana matangazo. Nimekuelewa unachomaanisha , lakini neno zuri ni kusema daktari mwenye uzoefu. Daktari kupewa degree na leseni ya kupractice ndio uzuri wenyewe huo.

Back to your request ; miongoni mwa madaktari bingwa wenye uzoefu mkubwa katika field ya Gynae&Obstretic nao wafahamu mimi ni (in no particular order)
1. Dr.ShafiQ- Agakhan
2. Dr. Kapona -Muhimbili na pia private clinic Tabata (kama sikosei)
3. Prof. Mgaya -Muhimimbili
4. Dr. Muganyizi- Muhimbili
 

FL1 huyu ndio nilikuwa namzungumzia anakuwa Muhimbili na pia pale kwenye clinic yake Mbuyuni
 
Mbuyuni ya wapi Desdii? Manake Dar huko Mibuyu mingi.
 
Nawashukuru sana wapendwa kweli JF hakuna kinachoharibika ]
Nishapata msaada wa matatizo yaliyokuwa yananisumbua ubongo...
Thanks Ma Dr wote mlioko JF kwa moyo wenu wa upendo..
 

Asante Kizimkazimkuu kwa kunielewesha ni Lugha imenitatiza ,
Next time nitatumia lugha iliyonyooka twenda sambamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…