Natafuta Gyna mzuri..

Natafuta Gyna mzuri..

By the Boss -huwa naifanya hiyo kazi part time
tena bure kabisaa l

Hisia zangu zinanituma kama unataka kupiga chabo nyeti za FL, sina uhakika kama hii ni fani yako ki-ukweli japo nina amini ww ni mtaalam katika nyaja flani
 
Naona umeshapewa majina yote.

Mi natumia miti shamba na bei yangu ni sawa na bure. PM me
 
mwanza wapo akina:-
Dr kilonzo
Dr Rumanyika
Dr Albert
Dr Ng'walida
Dr Gudomoka

kwa kweli ma dr wapo wengi sana, sasa labda ungeeleza tatizo lako wewe ni lipi ili usaidiwe "specifcally."
 
Clinic ya prof mgaya inaitwa Maria, iko btn st peters trafic lights na zile za namanga, upande wa ada estate.
Mbuyuni ya wapi Desdii? Manake Dar huko Mibuyu mingi.
 
Bila shaka utampata tu manake hapa JF ni kila kitu but angalia usikumbane na Hackers!
 
These guys calles gynos! They seek for problems in the place that other people seek for pleasure!
 
Ukitaka namba za hawaMagyn sema nikupe mamii

mwanza wapo akina:-
Dr kilonzo
Dr Rumanyika
Dr Albert
Dr Ng'walida
Dr Gudomoka

kwa kweli ma dr wapo wengi sana, sasa labda ungeeleza tatizo lako wewe ni lipi ili usaidiwe "specifcally."
 
FL sio vizuri kusema Daktari mzuri, as long as has the right qualification. It is unethical kwenye udaktari mmoja kujitambulisha kama ni mzuri zaidi ya wengine ndio maana unaona madaktari wa "ukweli" hawana matangazo. Nimekuelewa unachomaanisha , lakini neno zuri ni kusema daktari mwenye uzoefu. Daktari kupewa degree na leseni ya kupractice ndio uzuri wenyewe huo.

Back to your request ; miongoni mwa madaktari bingwa wenye uzoefu mkubwa katika field ya Gynae&Obstretic nao wafahamu mimi ni (in no particular order)
1. Dr.ShafiQ- Agakhan
2. Dr. Kapona -Muhimbili na pia private clinic Tabata (kama sikosei)
3. Prof. Mgaya -Muhimimbili
4. Dr. Muganyizi- Muhimbili
Mkuu naona contact details za Prof Mgaya...
 
Back
Top Bottom