Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
hahaha Fidel kumbe wewe ni Dr lol
:A S-coffee:
Mi Dr.mzuri tu wa wanawake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha Fidel kumbe wewe ni Dr lol
:A S-coffee:
Mbuyuni ya wapi Desdii? Manake Dar huko Mibuyu mingi.
Kumbe wewe ni mtiifu au kwa sababu....
Ngoja nikuPM unipe dili hili fasta
mwanza wapo akina:-
Dr kilonzo
Dr Rumanyika
Dr Albert
Dr Ng'walida
Dr Gudomoka
kwa kweli ma dr wapo wengi sana, sasa labda ungeeleza tatizo lako wewe ni lipi ili usaidiwe "specifcally."
Mkuu naona contact details za Prof Mgaya...FL sio vizuri kusema Daktari mzuri, as long as has the right qualification. It is unethical kwenye udaktari mmoja kujitambulisha kama ni mzuri zaidi ya wengine ndio maana unaona madaktari wa "ukweli" hawana matangazo. Nimekuelewa unachomaanisha , lakini neno zuri ni kusema daktari mwenye uzoefu. Daktari kupewa degree na leseni ya kupractice ndio uzuri wenyewe huo.
Back to your request ; miongoni mwa madaktari bingwa wenye uzoefu mkubwa katika field ya Gynae&Obstretic nao wafahamu mimi ni (in no particular order)
1. Dr.ShafiQ- Agakhan
2. Dr. Kapona -Muhimbili na pia private clinic Tabata (kama sikosei)
3. Prof. Mgaya -Muhimimbili
4. Dr. Muganyizi- Muhimbili
Dr Kapona contact ninazoMie namjua mmoja ila namba nimesahau yuko pale Mbuyuni (Dar) Clinic yake inaitwa (Maria Clinic)
Clinic ya mbuyuni sio Dr. Mgaya?Dr Kapona contact ninazo
Please ni pm contact za Dr KaponaDr Kapona contact ninazo