Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah! Pole sana,tuwasiliane nikusaidieNatafuta gynacologist nina tatizo la kupata ujauzito
come after me....trust me June unakua mjamzito!!
Pole mwanamke mwenzangu nenda kwa kilonzo Mwanza ni mzuri sana,ila andaa pesa maana pale wapo juu wangu Mungu atabariki tumbo lako.
Duh,,Cha ajabu huyo kilonzo yeye hana hata mtoto but they are happy ....acheni mungu aitwe mungu na wanawasaidia watu wanapata watoto duhh!